Monday, August 20, 2012

BOTI YAZAMA TENA ZANZIBAR

boti ndogo imezama leo katika pwani ya Zanzibar na juhudi za kuokoa watu waliokuwemo zinaendelea, taarifa  zaidi zitafuata baadae.